DOWNLOAD GAME KALI LA FTS20 LIGI KUU BARA AND CAF CHAMPIONS LEAGUE MOD(350MB) Timu za tanzania.

22
70AFRICAN GAMING PRO

FTS 2020 LIGI KUU BARA MOD DOWNLOAD.

GAME LINK.

Fungua hio link itakupeleka katika chrome utaclick sehemu iloandikwa (african gaming pro MB360) utaacha link yako ijae na badae kuseti game lako na uenjoy.

VITU ADIMU VILIVYOMO KWENYE GAME.
1.Ligi kuu bara
2.Azam Federation Cup
3.Caf Champions League
4.Timu zote 20 za ligi kuu bara pamona na wachezaji wote wa timu husika.
5.Taifa Stars pia imo ambayo utacheza ligi ya Qatar2022, Afcon, Caf Nations League.
6.Timu zifuatazo zina Jezi zao wanazo tumia msimu huu wa 2020

Simba Sports Club, Yanga, azam, mtibwa sugar, namungo, ruvu shooting, Taifa Stars,kagera sugar, mbeya city, polisi tanzania, jkt tanzania, tp mazembe, as vita, zesco united, etoile du sahel, kmc n.k.

Fanya Kusubscribe Uendelee kupata Video Game zetu na Magemu bora zaidi ya hili.

Thanks For Watching.

#Jinsi ya kuseti game la fts#jinsi ya kudownload game la fts#fts caf edition#ligi kuu bara#msimamo wa ligi kuu bara#magoli bora ya ligi kuu bara2020#morrison#magoli ya kagere#ujuzi wa morrison#morrison skills ya kutembea juu ya mpira#faulo ya morrison vs simba#simba vs yanga#yangaVSsimba#yangaVSsimba#simba Vs yanga#azam vs yanga# simba vs azam#simba vs singida utd#skills za chama#magoli yote ya simba sports club 2020#simba 2020, fts20#fts20#fts20#fts ligi kuu bara#vodacom premier league#taifa stars vs algeria#taifa stars vs sudan#

#African gaming pro#african gaming pro#mr game tz og#FTS20.
AFRICAN GAMING PRO.

Nguồn: https://keralafolkloreakademy.com/

Xem thêm bài viết khác: https://keralafolkloreakademy.com/game/

22 COMMENTS

  1. Game zuri ila sasa kilichozingua apo commentary kwa sababu kama timu ya yanga hyo mtangazaji apo anatangaza wachezaji wa Barcelona baada wa yanga ila good kazi nzuri lifanyieni kazi hilo nililowaambia

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here